Dansa Moses Iyobo wa Nasibu Abdul ‘Diamond’ akiwa na Aunt Ezekiel asema hata kama ni mkubwa ki umri haiusi

DANSA grade one wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses Iyobo amenyanyua kinywa chake na kusema hata kama mpenzi wake, Aunt Ezekiel amemzidi umri, ataendelea kumpenda hivyohivyo.

Alisema watu wengi wamekuwa wakihoji yeye kumpenda Aunt ambaye ana umri wa miaka 29, hawajui tu mapenzi hayaangalii umri kwani miaka ni namba tu za kuhesabika.
Age is just a number, mimi sioni tatizo kuwa  na Aunt. Nategemeaanizalie, awe mama wa watoto wangu. Kuhusu wale wanaosema nina mke mwingine, si kweli yule nilizaa naye tu lakini kwa Aunt ndiyo nimefika,” alisema Iyobo ambaye ana umri wa miaka 23.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s