Video: Huyu ndiye aliye hack namba za simu za Fid Q na AY!

Ndani ya wiki hii moja ya story zilizokuwa kubwa Bongo ilikuwa ni story ya namba za simu za mastaa Fid Q na AY kuwa hacked na mtu asiyefahamika, halafu jamaa aliyehack akawa anatuma message kwa marafiki wa karibu wa mastaa hao na kuwaomba hela.
Muda mfupi uliopita, kupitia Instagram na Twitter, Fid Q na AY wameweka story ya kumkamata mtu aliyehusika kufanya uhalifu huo.
Yule HACKER ndo huyu hapa.. Ni Mwanafunzi wa IFM.. Yuko mwaka wa pili Anaitwa AHMED….”–@fidq (Instagram)

//platform.twitter.com/widgets.js

//platform.twitter.com/widgets.js

Huyu ndie aliyehack namba Yangu na Ya @FidQ na kuanza kutapeli watu ndio huyu,Anaitwa Ahmed anasoma IFM 2nd Year”– @AyTanzania (Twitter)

//platform.twitter.com/widgets.js

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s