Mwanaume asiyetahiriwa hupatwa VVU kwa urahisi?

Swali: Ni kweli mtu asiyetahiriwa hupatwa VVU kwa urahisi?

Jibu: Ni kweli mtu asiyetahiriwa ana asilimia 60 zaidi ya kupata VVU kulinganishwa na mtu aliyetahiriwa. Hii ni kwa sababu katika ngozi ile ya mbele”govi”kuna vipokea virusi vya ukimwi”HIV receiptors”hii humweka mtu asiyetahiriwa kuwa katika hatari zaidi ya yule aliyetahiriwa. Ndiyo maana pana kampeni ya kitaifa ya “dondosha mkono wa sweta”

Credit Manyanda Healthy

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s