AY kuja na ‘Zigo’ ngoma atakayo iachilia mwezi february mwaka huu

Inawezekana ni utaratibu ambao ameamua kuuweka ingawa si rasmi ni kuhusu kutoa singo zake kwa mwezi wa February ambapo kwa miaka miwili mfululizo 2014/2015 amekua akitoa singo zake mwezi February.

Singo ambayo ilitoka February mwaka jana 2014 ilikua ni asante ambayo ilikaa kwenye chart mbalimbali za radio na tv,mwaka huu AY anakuletea singo inaitwa Zigo,imefanywa na producer wawili ambao ni Nahreel na Marco Chali.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s