Haya ndiyo maneno ya Zari jana usiku kwa Diamond Platnumz kabla hajapanda kwenye show yamewagusa wengi

Mwanadada matata Zarina HassanZarithebosslady‘, alitupia neno la kumtakia kila kheri mpenzi wake Diamond Platnumz katika shoo yake ya jana usiku. Zari alitupia kwenye akaunti yake ya Intagram maneno yasemayo:
Wishing you all the best tonight #Tigo cc @diamondplatnumz😙 am there with u in spirit
-‘Usiku huu nakutakia kila la kheri, nipo pamoja nawe kiroho…mahabbat hayo, lol!’
Maneno hayo yalikuwa yameambatana na picha husika hapo juu.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s