Picha: Hii ndiyo sura halisi ya Diana Elizabeth Michael ‘Lulu’ bila makeup wa mafuta

Mara nyingi kwa ma-super star huwa wanapenda kuonyesha sura zao kwenye mitandao ya kijamii kwa njia ya picha wakiwa wamependeza au wakiwa wanakula bata kuzidi kuonekana kuwa wao ni warembo au watanashati.

Lakini kwa picha hii hapo juu ndiyo sura halisi ya Diana Elizabeth Michael ‘Lulu’ aliyo share kuonyesha uhalisia wake bila vipodozi wala mafuta ya mgando. Na kupitia account yake ya instagram haya ndiyo maneno aliyo yaandika akiambatanisha na picha hiyo:
Ofa Kabambe…
Kitu hakijapitishwa hata kwenye filter,uso hauna hata mafuta Ya mgando mara Moja moja sana haya mambo Ya Live…!Sema pic Ya mwisho nilianza kusinzia
#okayGudnyt
Mpe comment yako hapo chini.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s