Wengi tunapenda uzito unapoongezeka, Ila Kim Kardashian kamuajiri mtaalamu kwaajili ya kumpunguza kilo 15 alizoongezeka

MWANAMITINDO na mwigizaji Kim Kardashian wa Marekani anasemekana ameongezeka uzito wa kilo 15 na hivyo amemwajiri mtaalam ambaye amempa jukumu la kuhakikisha uzito huo wa ziada unaondoka.

Mtaalam huyo ameajiriwa ili amfundishe jinsi ya kupika chakula bora zaidi kwa ajili ya familia hiyo akiwemo mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka 19 aitwaye North.

Mrembo huyo mwenye umri wa miaka 34 na mke wa mwanamuziki maarufu Kanye West, alisema: “Nimeanza kutafuta mtaalam wa mambo ya chakula kwani ninakula bila mpango.  Nimeanza kula chakula bora na kufanya mazoezi ili kubadili mtindo wa maisha yangu hususan sasa ambapo nina mtoto.  Ninataka kujua nini cha kupika na jinsi ya kupika chakula bora.

Alipoulizwa iwapo anapanga kupata mtoto wa pili, alisema: “Ninatarajia jambo hilo.  Tunajaribu na tunaombea jambo hilo litokee.  Hivi sasa sina ujauzito lakini hivi sasa nimeongezeka kilo 15.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s