Msanii wa filamu Bongo anayechipukia, Asia Morgan: Nitampa Slim Talaka!

MREMBO ambaye aliwahi kunyakuwa Taji la Unique Model, Asia Morgan ambaye pia ni msanii wa filamu anayechipukia, amefunguka kuwa endapo mwigizaji Slim Omary aliyekuwa mumewe hatampa talaka, atampa yeye.

Akizungumza na mwandishi wa habari hii, Asia ambaye alitengana na Slim akimtuhumu kuwa na wivu wa kupindukia, alisema licha ya kudai talaka mahakamani Slim amekuwa mzito kuitoa hivyo dawa yake ni yeye kumpa.
Unajua mimi na Slim tusingeachana kwa malumbano kiasi hiki yeye ndiyo chanzo sasa kwa kuwa anagoma kuniandikia takala yangu, nitamuandikia yeye ili tuondoe mzizi wa fitna,” alisema Asia.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s