Video: Rose Muhando amsifia mwimbaji wa Bongo Fleva ‘H Baba’ kuwa anafanya show zake poa

Sio zile stori ambazo tumezoea kuzisoma au kuziona kwenye hii mitandao ambayo tunapita kila siku…. lazima uwe na hamu ya kujua jibu lake iwapo staa wa gospel kama Rose Muhando ataulizwa anamkubali msanii gani wa bongofleva?

Kikawaida siku zote msanii huyu wa bongofleva husifika kwa kufanya show kali sana, yani akiwa kwenye stage hata kama huzijui nyimbo zake lazima ataweza kukuteka tu ambapo haya maneno ya Rose Muhando yalifata baada ya mkali huyu kupiga show Singida kwenye miaka 10 ya Waziri Lazaro Nyalandu ambae pia ni Mbunge Singida.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s