Wema Sepetu amechoka uhusiano wa boyfriend na girlfriend, amesema anataka kuolewa

Wema Sepetu amechoka uhusiano wa boyfriend na girlfriend. Muigizaji huyo wa filamu amesema anataka kuolewa.

Wema alisema hayo jana kwenye reality show yake, In My Shoes baada ya meneja wake Martin Kadinda kumuuliza kwanini hana ‘kiki’ kwa sasa.

Miss Tanzania huyo wa mwaka 2006 alisema kuna vitu vingi anataka kuvifanya ikiwemo kuwa na hamu ya kutulia na kuwa mke wa mtu.

Hata hivyo Wema alisita kumweka wazi mwanaume anayetaka kumweka ndani na kumtaka meneja wake kuwa na subira.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s