Vanessa Mdee na Shaa wazungumzia issue ya dancers wao ambayo imeonekama kama inaleta bifu

Jumatatu ya February 9 nimekuwekea U Heard ya leo ambayo inahusu tetesi za wasanii wakike Vanessa na Shaa kuonekana kutokuwa na maelewano kati yao katika show iliyofanyika hivi karibuni huku ikisemekana kuwa wanashare dancers hivyo kuwa na mvutano kila mmoja kutaka awe wa kwanza kuwatumia.

Vee Money akiwa na dancers

Soudy Brown alikutana na wasanii hao hivi karibuni wakiwa katika show kwa upande wa Shaa amesema kuwa hawana ugomvi wowote kwani wasanii wakike wako wachache kwa hiyo hawaoni haja ya kugombana.

Shaa akiwa na dancers

Vanessa nae amefunguka kuwa wanapeana support ili waweze kufika mbali, kuhusu dancers hao Vee amesema wako vizuri ndio maana wanawatumia wote kwa pamoja, hawana haja ya kugombana kwani watu wanataka kuwagombanisha ili washindwe kufanya muziki na kupotea kwenye ramani.

Bonyeza play kuweza kusikilia U Heard ya leo February 9.

http://www.hulkshare.com/embed.php?fn=ooer62avjqww

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s