Baada ya picha ‘tata’ za Ommy Dimpoz na Wema Sepetu kuzagaa mtandaoni haya ndio maneno ya Dimpoz

Siku mbili zilizopita mitandao ya kijamii kupitia Instagram, Facebook, Blogs na wakati mwingine Twitter kumekuwa na story ambazo zimeongelewa kwa kila namna kuhusiana na msanii wa nyimbo za Bongo Fleva Ommy Dimpoz kuonekana wapo bafuni na picha nyingine kitandani wakiwa na Wema Sepetu ambazo zimezua utata kuwa yawezekana labda wakawa ni wapenzi na wengine wakisema ‘Project‘ inaendelea.

Ila masaa 18 yaliyopita msanii wa muziki wa Bongo Fleva Ommy Dimpoz ameshare picha akiwa na Wema Sepetu huku akiandika maneo kuwa “Inzi kufa kwenye kidonda…………“, Maneno ambayo wengi wameshindwa kupata maana halisi ambayo ipo kati yao.

Inzi kufa kwenye kidonda…………

A post shared by Ommy Dimpoz (@ommydimpoz) on

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s