Hemed PHD, Latifa Idabu, Mboto na waigizaji wengine wa Bongo Movie wanakuletea movie hii mpya ‘Kitanzi’ sokoni

Kwa wale wapenzi wa movie za kibongo hii ni movie mpya ambayo imeingia rasmi sokoni leo February 12, unaambiwa ndani kuna mastaa kama Hemed Suleiman, Latifa Idabu, Haji Salum aka Mboto, Sadiki Manwila na Sabrina Omari.

Hii inazungumzia maisha ya Mtanzania wa kawaida, hasa kijana akiwa kwenye changamoto za maisha, kama umemis kucheka pia basi pitia hii, najua utaenjoy na ukali wa Mboto mwenyewe humu ndani mtu wangu.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s