Joh Makini awashauri waongozaji wa video nchini kuingia darasani kuongeza ujuzi

Rapper wa kundi la Weusi, Joh Makini amewashauri waongozaji wa video nchini kuingia darasani kuongeza ujuzi zaidi kati fani hiyo.

Pamoja na hivyo hitmaker huyo wa ‘XO’ amesema kuna waongozaji wenye uwezo mzuri ambao kama ukipigwa msasa zaidi watafika mbali.

Akiongea kwenye kipindi cha Daladala Beat cha Magic FM Jumatano hii, Joh Makini alisema kuwa teknolojia inaendelea kubadilika kila siku hivyo ni muhimu na wao wakaenda na wakati ili kukabiliana na ushindani kutoka kwa waongozaji wa nje.

Wanatakiwa kuingia darasani na kuanza kujiongeza zaidi kwasababu kila siku teknolojia mpya inaingia vitu vipya vinakuja ni vizuri wakienda wakasoma wakaongeza utaalam wakajua jinsi ya kucheza na mwanga vitu fulani vidogo ambavyo bado vinasumbua,” alisema Joh Makini.
Joh ameongeza kuwa kwa upande wa utayarishaji wa muziki Tanzania imepiga hatua ukilinganisha na miaka ya nyuma

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s