Kajala Masanja sasa ‘kumtafutia’ Paula mdogo wake!

Mwanadada anayeendesha maisha yake kwa kuuza sura kwenye filamu za Kibongo, Kajala Masanja amefunguka kuwa ni muda muafaka wa kufanya mishemishe za kumtafuta mtoto mwingine kwani yule wa kwanza, Paula ameshakua.

Akizungumzia mipango yake kwa sasa hasa kwenye suala la kuongeza mtoto, Kajala alisema umri unazidi kuyoyoma na Paula anazidi kuwa mkubwa hivyo ni vyema akamtafutia mdogo wake fasta kabla ya kuamua kutulia.

Kwa kweli nahitaji kumpata mdogo wake Paula haraka, umri unazidi kusonga mbele, siyo nakuja kuzaa tena Paula kishakuwa mdada mkubwa, itakuwa aibu,” alisema Kajala.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s