Download New Music: Diamond Platnumz feat P – Square – Nakupenda

Msanii wa miondoko ya Bongo Fleva ambaye anazidi kuja juu kila siku Nasib Abdul aka Diamond Platnumz ‘Dangote’ amesikika tena kwenye ngoma ya “Nakupenda” kukiwa na sauti za mapacha kutoka Nigeria ambao nao wapo juu Poul na Peter kwapomoja wanao unda kundi liitwalo P-Square. Japokuwa ngoma haijajulikana kama ni official release ila ime hit kwenye mitandao mbali mbali na baadhi ya local radios.

Click hapa ku Download New Music: Diamond Platnumz feat P – Square – Nakupenda.

Sikiliza hapa:

http://www.hulkshare.com/embed.php?fn=jk774t6p78jk&autoPlay=1&color=FA0000

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s