Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Lucy Komba anyoa rasta zake kisa ndoa

MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Lucy Komba ambaye hivi karibuni alifunga ndoa na Janus Stanley, raia wa Denmark, amesema kuwa ameamua kunyoa rasta zake alizozifuga kwa muda mrefu kwa kile alichodai matakwa ya ndoa.

Akizungumza na mwandishi wetu, Lucy alisema kuwa ameamua kunyoa nywele zake hizo kwa kuwa anaona ni mke wa mtu anatakiwa kubadilika na kuwa tofauti kidogo na alivyokuwa huko nyuma.
“Unajua lazima kuwe na tofauti kidogo, zamani na sasa, hivyo nimeamua kunyoa kuleta utofauti,” alisema Lucy.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s