Picha: Mwana FA aungana na Jay-Z, Beyonce, Rihanna kwenye NBA All-Star Game

Jumapili ya jana Mwana FA aliungana na mastaa wengine wa Marekani wakiwemo Jay Z na Beyonce pamoja na rais wa zamani wa Marekani, Bill Clinton kwenye NBA All-Star Game katika uwanja wa Madison Square Garden jijini New York Marekani.

Unajua ni kama mchanganyiko wa NBA nzima na top artists kibao, ni
event kubwa. I saw Nas performing, we mtu wa hip hop unajua what that means,” amesema Mwana FA.

Picha ya tiketi ambazo Mwana FA alitumia kuingilia kwenye michezo hiyo. Tiketi moja ni $350 ambazo ni takriban shilingi laki sita za Tanzania

Tazama picha zaidi za mastaa hao.

Russell Westbrook wa timu ya mastaa wote wa Western Conference, akikabidhiwa tuzo ya NBA All-Star Game MVP trophy kwenye michezo hiyo ya 64 ya NBA All-Star Game, February 15, 2015, Madison Square Garden New York


Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s