Baada ya video ya ‘Kaunyaka’, Chege na Temba wanatarajia kwenda tena nchini Afrika Kusini kuandaa kazi mpya

Baada ya kuachia video ya ‘Kaunyaka’, Chege na Temba wanatarajia kwenda tena nchini Afrika Kusini kuandaa kazi mpya.

Chege ameiambia Bongo5 kuwa video ya wimbo huo watakaorekodi Afrika Kusini wataenda kuifanyia nchini Afrika Kusini.

Wakati tunaenda kufanya project yetu South tulitengeneza mazingira ya kwenda kufanya show Dubai, kwahiyo tulivyopata mwaliko Dubai tukaona sio kitu kibaya kufanya show na kufanya video kule,” amesema Chege.

Gharama hazitakuwa kubwa sana ndo maana nikasema tumeamua kufanya video kule baada ya kupata mwaliko wa kufanya show.

Chege amedai kuwa mashabiki wategemee project tofauti na zile walizozoea kufanya.
Tumeanza na project hii ya kwanza ya South na wategemee project zote zinazokuja zitakuwa ni Tofauti na zile tulikuwa tunafanya.

Credit Bongo 5

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s