Jacqueline Wolper amedaiwa kumchukua mpenzi wa msanii wa filamu Farid Jamal ‘Farid Uwezo’

MSANII wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper amedaiwa kumchukua mpenzi wa msanii wa filamu ambaye pia ni mpigapicha, Farid Jamal ‘Farid Uwezo’  aliyejulikana kwa jina moja la Vivian.
Chanzo cha habari kililiambia gazeti hili kuwa, tangu Wolper awe karibu na Vivi, Farid amekuwa akiumia sana kwani amekuwa akikosa muda wa kujiachia naye.

“Yaani Wolper kampora Farid Vivi wake, sasa hivi jamaa ameamua kumuacha maana anaona mambo hayaendi sawa.

“Watu wanajiuliza, Wolper anampa nini Vivi? Ni ushosti wa kawaida tu au kuna kingine. Maana mtu huwezi kumuacha mpenzi wako kisa msichana mwenzako,” kilidai chanzo hicho kilichoomba hifadhi ya jina lake.

Baada ya kuzinyaka taarifa hizo, mwandishi wetu alimtafuta Farid na alipopatikana alisema ni kweli Vivi alikuwa mpenzi wake lakini Wolper kampora.

“Vivian alikuwa ni mpenzi wangu lakini baada ya kuwa na urafiki na Wolper alibadilika na kunikataa.

 “Nilishindwa kujua sababu ya yeye kutotaka kuwa na mimi kwa kuwa Wolper ni msichana mwenzake. Inaniuma sana kwani nilikuwa nampenda sana, hata hivyo siwezi kumrudia kwani atakuwa ameshaharibika kitabia,” alisema Farid.

Credit BPL

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s