Blog post title

This is a placeholder post. Click the Edit link to modify or delete it, or start a new post. If you like, use this post to tell readers why you started this blog and what you plan to do with it.

Advertisements

Blog post title

This is an additional placeholder post. Click the Edit link to modify or delete it, or start a new post. If you like, use this post to tell readers why you started this blog and what you plan to do with it.

Nicki Minaj amkataza Meek Mill kumuita mchumba

Mwezi December mwaka jana, Nicki Minaj alionesha pete ya almasi iliyowafanya wengi waamini kuwa amechumbiwa na Meek Mill. Na sasa rapper huyo amekiri kuwa hata mpenzi wake huyo amekuwa akichanganya hatua ya uhusiano waliyofika. Nicki amekava issue ya April ya jarida la Nylon na kukiri kuwa Meek bado hajamchumbia.

Hivi karibuni Nicki alidai kuwa Meek anataka ampe pete tatu kabla hawajafunga ndoa na kwakuwa hadi sasa amempa mbili tu, rapper huyo anaona ni sawa kumuita Nicki mchumba hata kama bado haijawa rasmi. ‘I’m not engaged yet.… He said that my third ring would be my engagement ring. ‘But sometimes he calls me his fiancée, and I’m always trying to stop him, like, “Nope! I ain’t got that third ring yet,’ alisema Nicki.

Tazama picha zaidi za rapper huyo kwenye jarida la Nylon.